Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Zitafakarini Njia Zenu 1 by Patient

SongGPT
Zitafakarini Njia Zenu 1 by Patient - Gospel Afrobeat,Female Vocals music cover art

Zitafakarini Njia Zenu 1

Gospel Afrobeat,Female Vocals

0:003:22
Lyrics
Description
Couplet 1:
Yahweh wa majeshi asema hivi,
Watu husema, “Huu sio wakati waku ijenga nyumba ya Yahweh,”
Lakini nyumba ya Yahweh imebaki,
Ime kaa katika hali, ya mabomoko matupu.
Refrain:
🌿 Zitafakarini njia zenu,
Tazameni maisha yenu,
Mmepanda mbegu nyingi,
Lakini mkavuna kidogo.
Couplet 2:
Mnakula chakula hamshibi,
Mnakunywa lakini hamkutosheka,
Mnavaa lakini baridi ibaki,
Mshahara huingia mfuko uliotoboka.
Refrain:
🌿 Zitafakarini njia zenu,
Tazameni maisha yenu,
Mmepanda mbegu nyingi,
Lakini mkavuna kidogo.
Pont (Bridge):
Pandeni milimani, leteni miti,
Tujenge hekalu la Yahweh,
Atatukuzwa, ataifurahia,
Utukufu wa Mungu utaonekana!
Refrain final (crescendo):
🌿 Zitafakarini njia zenu,
Yahweh ana sema, turudi kwake,
Tutaleta miti, tutajenga hekalu,
Na utukufu wake utaonekana milele!