Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Young Icon 1 by Sayyi

SongGPT
Young Icon 1 by Sayyi - Hip-Hop,both vocals music cover art

Young Icon 1

Hip-Hop,both vocals

0:002:10
Lyrics
Description
Mmmmh,
Young icon,
Hahahahahah
Watatuweza kwel
Hahahah
kaz zao za kitozi
Ni uchafu kama kinga zilizovaliwa
Mi nataka kuwatia adabu bila kutumia fimbo
Ili siku nyingine muwe na nidhamu
mi sipendi kushindana sana sababu ndo nilivyozaliwa
Sikia sasa mi nazisaka chapaa
nabonga na tajiri Sele
Najichorea mistari kisha naingia chaka
Nikirudi nakamata navyovipenda yaani ndinga kwa mtaa
Sina muda wa kubishana na vijana fake
Ukiniona na tajiri Sele na Sayi ah basi ni mwendo wa kuhesabu chapaa
Mimi na wanangu kama T.madini
Huwezi kuleta stori za kimama mama hapa tutakuchoma kwa mkaa
OMG ipo, that's my dream team .
Young icon
Expensive lifeeeeee!
Hahahahahaha
Hahahahahaha
Wakalaleeeeeee