Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Usihuzunike Tena - Nyumbani Mwanga 1 by young

SongGPT
Usihuzunike Tena - Nyumbani Mwanga 1 by young - Gospel Inspirational,Male (Tenor Lead) With Choir  music cover art

Usihuzunike Tena - Nyumbani Mwanga 1

Gospel Inspirational,Male (Tenor Lead) With Choir

0:003:32
Lyrics
Description
1. U mwendo gani nyumbani? Mlinzi akanijibu, "Usiku sasa waisha, machweo karibu." Usihuzunike tena, bali ulemee mwendo Hata ushike ufalme kule mwangani juu.
2. Na tena niliuliza, nchi yote ikajibu: "Sasa mwendo watimika, milele karibu." Usihuzunike tena, ishara kuu zasonga Na viumbe vyangojea sauti ya Bwana.
3. Nikamwuliza shujaa, ndivyo kanitia moyo: "Shikilia mapigano, kitambo yaisha." Usihuzunike tena, kazi ifanye kwa moyo; Tumeahidiwa tunu tuishapo shinda.
4. Siyo mbali na nyumbani! Fikara tamu njiani, Latupoza roho, nalo lafuta machozi Usihuzunike tena, kitambo tutakutana Wenye furaha kamili nyumbani mwa Baba.