Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Uni Ongoze Douce 1 by Jonathan

SongGPT
Uni Ongoze Douce 1 by Jonathan - Worship,Neutral Vocals music cover art

Uni Ongoze Douce 1

Worship,Neutral Vocals

0:003:15
Lyrics
Description
[Intro – Soft Whisper]
Ee Mungu…
Weye unajua kiburi na werevu wa moyo wangu.
Usiniache…
Nipiganie, Bwana wangu,
Maana siwezi peke yangu.
[Verse 1]
Ni mimi, mtumishi wako,
Nakulia mbele zako.
Nishike mkono,
Uniongoze, Bwana.
Usiniache nizaraulike,
Nikitembea na kusimama,
Ni kwa jina lako, Mungu wangu,
Yote ni kwa neema yako.
[Chorus]
Uniongoze, hata ndani ya giza,
Uniangazie… eeh uniongoze.
Uniongoze, hata ndani ya giza,
Uniangazie… eeh uniongoze.
[Verse 2]
Siwezi kosa kamwe na kitu,
Najua Bwana ni mchungaji wangu.
Hauwezi itika adui zangu,
Bali wapate aibu juu yangu.
Ee Bwana, sikia maneno yangu,
Angalia malalamiko yangu.
Sikia sauti ya mlio wangu,
Ee Mfalme wangu, na Mungu wangu.
[Bridge]
Ninakuita…
Nikinge na watesi wangu wote.
Uniokoe…
Simba wasinirarue,
Wasinipasu,
Usipokuwepo, weye.
[Chorus]
Uniongoze, hata ndani ya giza,
Uniangazie… eeh uniongoze.
Uniongoze, hata ndani ya giza,
Uniangazie… eeh uniongoze.
[Outro]
Oh mimi leo…
Najiacha mikononi mwako.
Na kuomba sasa…
Ee Mungu wangu, uniongoze.