Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Uni Ongoze 2 by Jonathan

SongGPT
Uni Ongoze 2 by Jonathan - pop,male vocals music cover art

Uni Ongoze 2

pop,male vocals

0:003:31
Lyrics
Description
Verse 1:
Eeh mungu
Weye una ye juwa kiburi n'a werevu
Wa moyo wangu
Usi nuache ni piganiye bwana wangu
Maana sita weza peke yangu
Chorus:
Oh mimi Léo
naji acha
mikononi mwako
Na kuomba sasa
Oh mimi Léo
naji acha
mikononi mwako
Na kuomba sasa
(Refrain)
Uni ongoze, n'a ndani ya giza
Uni angaze, eeeh uniongoze
Uni ongoze, n'a ndani ya giza
Uni angaze, eeeh uniongoze
Verse 2:
Siwezi Kosewa kamwe n'a kitu
Najuwa bwana ni mchungaji wangu
Hawezi itika Audi zangu
Wa pâte furaha Juu yangu
Eeeh bwana sikiya maneno yangu
Uangaliye malalamiko yangu
Usikiye sauti ya mlio wangu
Eeeh mfalme wangu,n'a Mungu wangu
Bridge:
Nina ku omba
Nikinge n'a watesaji wangu wote
Uni opoe
Simba wasi ni pasue
Wasi ni rarue,
Usipo kuwepo weye
Nina ku omba
Chorus:
Oh mimi Léo
naji acha
mikononi mwako
Na kuomba sasa
Oh mimi Léo
naji acha
mikononi mwako
Na kuomba sasa
(Refrain)
Uni ongoze, n'a ndani ya giza
Uni angaze, eeeh uniongoze
Uni ongoze, n'a ndani ya giza
Uni angaze, eeeh uniongoze