Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Twala Nao — Maskani Anthem by Classic

SongGPT
Twala Nao — Maskani Anthem by Classic - Reggae music cover art

Twala Nao — Maskani Anthem

Reggae

0:003:58
Lyrics
Description

Intro : Manna * Muklyn Montana MASKANI shelter KD REPUBLIQUE Yeah, yeah sana sana Sana KD Oya mixer, unda skunkie LACASA njoo na paper Chorus : Twala nao hao hao Twala nao hao hao Twacheka nao hao hao Twacheka nao hao hao Kumbe wabayaa — kumbe wabayaa Machoni wanapenda, moyoni ina wauma Hao hao hao Verse 1: Nawasha moto, watoto — hamuezi zima Mnaleta compe, at the end mind of a winner Scheki na wanoko, nawa poteza mazima Kina kirefu — hamuezi pima Nlianza solo, sai ni gang gang, kundi kundi Tumesimama wima Need more — more than yesterday, than the day before Nimetoka mbali, nyuma si rudi Kila hatua, dua nyuma, sibaki Wana dhani hatufiki, popote wanatuona wanajuwa Matusi yao kwangu imekuwa baraka Blessings zina kam double-double, sitoi shubiani kwa mnyangu Wana keep it real, nawajuwa kwenye mboni ya macho Usiniite mwana kaa — wee mnafiki, street snitch brother Form nikutole jaba tools, nikushikie behind my back, unani bonga vibaya Usiyie mpenda kaja uliye mpaa, umbea nyuma, kaku taja Niko ready kwa war, bro kaa mavii — leo ndo umea kanyagaa Chorus : Twala nao hao hao Twala nao hao hao Twacheka nao hao hao Twacheka nao hao hao Kumbe wabayaa — kumbe wabayaa Machoni wanapenda, moyoni ina wauma Hao hao hao Verse 2: Usitakee kuona evil me while I'm trying to live my life Ukia vurugaa, lazma uta yanywa tuu Hatu ongopei — sema, wewe ni mtoto wa mama, tuna kumanyaa Nawa soma, niko rada — utadhani ghost rider, bushakalaka Nawa pandisha mizuka, wana shtuukàa Wako mbio, mindo nawa buruza Kama voucher — nawa kwangua, msini test, mii ni harmful Nipo juu, kaa drone na sorora, ma opponent mi commander, sii kipenzii Game iko kwa damu — hii ni rap damu, na rap kando y river Sabaki ndo mistari — hizi flow, nawapoteza mazima, kaskazini kusinii Kichwa kina vitu vingi — technic, nawa control Machoni wanapwenda, rohoni inawauma Avoid those people — hao sio wanaa, ni wanaa waa presoo Wanakupenda ukiwa 4pf, pochi ikiwa kitungu wanakutenga Kaa Maximilionair — staki mazoea Wanangu hawapendi kubebwa, bebwaa — mtoto wa kiume uta tombwa Punguza kuomba, ombaa chugachugà Ndo kujitumà — kali ni free bila fee Ukibugii, unapewa Mjinga anasema umekuwa toka maghettoni — jitegee mee Ndo utajuwa — life, maisha ina maanisha Chorus : Twala nao hao hao Twala nao hao hao Twacheka nao hao hao Twacheka nao hao hao Kumbe wabayaa — kumbe wabayaa Machoni wanapenda, moyoni ina wauma Hao hao hao Bridge / Dub Break (8–12 bars): [Hammond swell, echoing guitar skank, light horn stabs] Call: "Maskani!" Response: "Twala!" Echoed vocal: "Hao — hao — hao" [Dub echo on last line, spring reverb on snare, bass drop fill into final chorus] Final Chorus : Twala nao hao hao Twala nao hao hao Twacheka nao hao hao Twacheka nao hao hao Kumbe wabayaa — kumbe wabayaa Machoni wanapenda, moyoni ina wauma Hao hao hao Outro : Yeah, yeah sana sana Twala nao hao hao Twacheka nao hao hao Hao hao hao (Manna — Muklyn Montana — KD REPUBLIQUE — MASKANI)