Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Tumeunganishwa kwa Upendo 1 by Domi

SongGPT
Tumeunganishwa kwa Upendo 1 by Domi - World Music,Mixed (Male And Female) Vocals music cover art

Tumeunganishwa kwa Upendo 1

World Music,Mixed (Male And Female) Vocals

0:003:44
Lyrics
Description
[Intro – Kwaya]
Uh uh uh…
Charama Swahili
Sisi ni wamoja, tumeunganishwa kwa upendo…
Ulimwenguni tuko Ndugu na dada kila mahali, Mashahidi wa Yehova sisi ni familia.
[Betu ya 1 – Sauti 1]
Ninapokuona, Ndugu Nyengele na da Anna,
Ndugu Musafiri na da Sakina,
Ndugu Agato na da Jeannette,
Naona Bidii.
Siyo damu na mwili, bali Roho ya Yehova, Inafanya kazi ndani mwenu.
[Betu ya 1 – Sauti 2]
Tabasamu lako Ndugu Junior,
Ndugu Josué na da Media,
Ndugu Nkere na da Nathalie,
Ndugu Moïse na da Raheli.
Kwa kushikana mikono, twasonga mbele.
[Kiitikio – Wawili kwa pamoja]
Wawili mumeunganishwa kwa upendo, katika Kristo Munadumu,
Lugha, historia zetu hazitubagui.
Ndugu daima hadi milele,
Mashahidi wa Yehova, tutatembea.
Charama Swahili, Ntahangwa, Bujumbura,
Twang’aa kwa upendo chini ya sheria ya Yehova.
[Betu ya 2 – Sauti 1]
Ninapokuona, Ndugu Edmond na da Kerene,
Ndugu kiza na da Safina,
Ndugu Kabeya na da Norah,
Naona Jitihada.
Siyo damu na mwili, bali Roho ya Yehova, Inafanya kazi ndani mwenu.
[Betu ya 2 – Sauti 2]
Tabasamu lako Dada Jenny,
Ndugu Sarara na da Mwavita,
Ndugu Dominic na Da Raïssa,
Dada Zubeda na Dada Faida,
Dada Wema na da Helena.
Kwa kushikana mikono, twasonga mbele.
[Kiitikio – Wawili kwa pamoja]
Wawili mumeunganishwa kwa upendo, katika Kristo Munadumu,
Lugha, historia zetu hazitubagui.
Ndugu daima hadi milele,
Mashahidi wa Yehova, tutatembea.
Charama Swahili, Ntahangwa, Bujumbura,
Twang’aa kwa upendo chini ya sheria ya Yehova.
[Betu ya 3 – Sauti 2]
Dada Mariamu Sudi,
Ndugu Jimmy Mwangalizi,
Kwa kushikana mikono, twasonga mbele.
[Outro – Kwaya]
Tumeunganishwa, tumeunganishwa,
Kwa upendo wa kweli, tutaishi kwa amani,
Katika mwanga wa Yehova, tutaendelea kusonga mbele,
Familia moja, mioyo michache, lakini upendo ni mkubwa.