Tabasamu Lako (Your Smile) 2 by Blaq

SongGPT
Tabasamu Lako (Your Smile) 2 by Blaq - Afrobeat-Bongo Flava Fusion music cover art

Tabasamu Lako (Your Smile) 2

Blaq

Afrobeat-Bongo Flava Fusion

0:003:27
Lyrics
Description
[Verse 1 - Male]
Tabasamu lako, macho yako
Yananivutia, nikikumbuka tulivyo anza siwez simulia
Najua ilianza kama utani, kukuita nawe ukaitikia
Haukujariwako mda nao ukanipatia
Macho yako, lips zako, ndo zikafanya nachanganyikiwa
[Chorus - Male & Female]
Najua Suzy mwazo nilikusumbua lakini hauku nikazia
Upole wako na ukarim wako ndo vinanivutia
Nikikumbuka uchechi wako, Suzy moyo ukanipatiaTulianza kama Hadith, nzuri yakupendeza
Moyoni mwangu penzi likachipua, kwako amo nikazamia
Na kilichonisukuma ni moyo si matamanio
Penzi letu amo tulitunze listawi
[Verse 2 - Female]
Unaona apo kwenye penzi letu amo tulitunze listawi
Moyo wangu ushakupenda wewe amo hakuna lingine chaguo
[Chorus - Male & Female]
Penzi letu kustawi mpenz ni yetu matunzo kulistawisha
Najua Suzy mwazo nilikusumbua lakini hauku nikazia
Upole wako na ukarim wako ndo vinanivutia
Nikikumbuka uchechi wako, Suzy moyo ukanipatiaTulianza kama Hadith, nzuri yakupendeza
Moyoni mwangu penzi likachipua, kwako amo nikazamia
Na kilichonisukuma ni moyo si matamanio
Penzi letu amo tulitunze listawi
[Bridge - Male]
Tulianza kama Hadith, nzuri yakupendeza
Moyoni mwangu penzi likachipua
Kwako amo nikazamia
Na kilichonisukuma ni moyo si matamanio
[Chorus - Male & Female]
Penzi letu kustawi mpenz ni yetu matunzo kulistawisha
Najua Suzy mwazo nilikusumbua lakini hauku nikazia
Upole wako na ukarim wako ndo vinanivutia
Nikikumbuka uchechi wako, Suzy moyo ukanipatiaTulianza kama Hadith, nzuri yakupendeza
Moyoni mwangu penzi likachipua, kwako amo nikazamia
Na kilichonisukuma ni moyo si matamanio
Penzi letu amo tulitunze listawi
[Outro - Male & Female]
Penzi letu amo tulitunze listawi
Penzi letu amo tulitunze listawi