Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Simba Ya Ushindi 1 by Noel

SongGPT
Simba Ya Ushindi 1 by Noel - afrobeat,both vocals music cover art

Simba Ya Ushindi 1

afrobeat,both vocals

0:002:55
Lyrics
Description
🎷🎤Oweee oweee owaaaaa
Oweeeee oweee
Oweee oweee owaaaaa
Oweeee oweeee
Noely David mwandishi bora
Mwambungu simba
Kwa heshimaa
🎵Wanangu wa Simbaaaa
Amkenii amkenii wanaume tupo uwanjanii
🎤kabila langu ni simba, Toka moyoni naimba
Tunapiga na marimba, simba yetu tunatamba
🎤Twende Simba, tupo imara,
Ngoma ya Ushindi, tena mara kwa mara,
Jangwani pashike moto, hatupendi wao utoto
Kimataifa changamoto, sisimizi viroboto
🎹Hii ni Ngoma ya ushindi, kila kona tunang’ara,
💡🎶
Simba ni taifa,
Nguvu yetu haikufa,
Tukiungana kama sifa
Ubingwa hauwezi kufa, ushindi ni taarifa
Simbaaaa, Nguvu mojaaa
Simbaaaaa, tuko pamoja
Simbaaaa, Nguvu moja
Simbaaaa, sote tuko pamoja
Asantee Simbaaa
Simba twapigana, tunawatawala,
Nguvu moja tunayo, na haipimiki wala.
Tukiungana, hatupoi,
Mioyo yetu ni moto, taa sio koroboi
Twende Simba, tupo imara,
Ngoma ya Ushindi, tena mara kwa mara,
Jangwani pashike moto, hatupendi wao utoto
Kimataifa changamoto, sisimizi viroboto
🎹Hii ni Ngoma ya ushindi, kila kona tunang’ara,