Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Sijawahi Kupenda 2 by Vincent

SongGPT
Sijawahi Kupenda 2 by Vincent - Bongo Flava,Female Vocals music cover art

Sijawahi Kupenda 2

Bongo Flava,Female Vocals

0:003:39
Lyrics
Description
SIJAWAHI PENDA NINAVYOKUPENDA
Tangu nianze kupenda, hivi sijawahi penda.
Olgah ninakupenda, Penzi kwako limewanda,
Kwa mawazo nitakonda, mbali kiwa nawe Chanda,
Olgah ninakupenda, penzi langu ni la kweli.
Mwanzo nilipokuona, nilijawa na furaha,
Nami mayo ulinena, kuwa unayo staha,
Penzi langu hukuona, kwa ilonija buraha
Olgah ninakupenda, penzi langu ni la kweli.
Olgah nawe Sikujua, macho yako linipenda
Heri ulivyoamea, Olgah we kunipenda,
Sasa ninavyopumua, sababu Navyoripenda,
Olgah Navyokupenda, hivyo sijawahi penda,
Nawe ninakuamini, kwamba kweli Wanipenda,
Moyoni nina amami, Penzi letu litawanda
Kwako ninatumaini, penzi langu utalinda,
Olgah navykupenda, hivyo sijawahi penda.
Siku njema walinena, asubuhi hunekana,
Ni mwanzo ule mwanana, penzi letu linanena,
Kama wewe sijaona, Olgah nawe ninamena,
Kweli ninavyo kupenda, hakika unafahamu.
Ulifurahi kwa kweli, kwako nilipofunguka,
Ukauona ukweli, ukweli u hakika,
Nawe ukajisajili, penzi lako Kuşamika,
Olgah ninakupenda, kwako hino ni ahadi