Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Romantic Vibes 1 by Steve SABYA

SongGPT
Romantic Vibes 1 by Steve SABYA  - Romantic music cover art

Romantic Vibes 1

Romantic

0:003:23
Lyrics
Description
(pré-refrain)
kyenye mwanzo kina mwisho mamaaaaa
kyenye mwanzo kina mwishoooooooo
SABYA steven
(couplet 1)
wache niwe mtulivuuuu
na hali yangu ISI badilikee
na ishi kwa maumivuuuu
Ila najipa Imani labda yata kwisha
(pont)
aya mapenzi bwana
haya maaana
kuishi kama vitani
kukicha twagombana
usiku mchaaana
twa shikiyana mapanga
(refrain)
mara ngapi wewe
niku samehe
Niki ficha Ayibu
Ila hau badilike mwenzangu
ni kipi sija fanya kwako
marangapi wewe
niya samehe
yale unayo ya fanya
nisi wape vyaku sema Wale
ni kipi sija weza kwako
(couple 2)
mmmhhhh
mmmhhhh
Ama zile ahadi
bado sija timizaaa
njo zina kufanya
uni umizee
some times uko logi
kwenye beach,
nama dhoga zako
hâta nikuite
simu ipete
hakuna jibu lolote
Mimi mtoto wamwenzioo
Nina baba na mama
kama ndio full stop
tuachane wazima
kuliko Kuni lawama
nisije zikwa mzima
oohhh oohhh
(pont)
[refrain]
siija elewaa
ooohhh oohh
sija elewaa
kama ni umaskini
maisha mahumu
njo uni tende hivi
kama ni mashetani
ama wazimuuu
njo tu ishi kama movie
oohhh oohhh ooohhh
(pré-refrain)