Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Okwetso Lipozaliwa 2 by VINCENT

SongGPT
Okwetso Lipozaliwa 2 by VINCENT - afrobeat,female vocals music cover art

Okwetso Lipozaliwa 2

afrobeat,female vocals

0:002:43
Lyrics
Description
[Verse 1]
Ni nani asefurahi, uzima akijaliwa?
Ni nani aseburahi, siha nzuri akipewa?
Ni nani asiyezihi, baraka akijaliwa?
Ni kumbukizi ya kwake, Okwetso lipozaliwa.
[Chorus]
Okwetso na uwezedi, mambo yako kuyatenda,
Kuyatenda nayo tadi, kutakufanya kukonda,
Yote yaliyo na kedi, usije ukayapenda,
Ni kumbukizi ya kwake, Okwetso lipozaliwa.
[Verse 2]
Ni leo anakumbuka, kikembe alipokuwa,
Ni lero anakumbuka, makuzi aliyopewa,
Si jana anakumbuka, mapenzi aliyopewa,
Ni kumbukizi ya kwake, Okwetso lipozaliwa.
[Bridge]
Ni ilioje furaha, taama kutoikata,
Ni ilioje buraha, kuyaepuka matata,
Ni ilioje staha, mwangaza ukiufwata,
Ni kumbukizi ya kwake, Okwetso lipozaliwa.
[Chorus]
Okwetso na uwezedi, mambo yako kuyatenda,
Kuyatenda nayo tadi, kutakufanya kukonda,
Yote yaliyo na kedi, usije ukayapenda,
Ni kumbukizi ya kwake, Okwetso lipozaliwa.
[Verse 3]
Tenda lilo muhimu, hata waja sipopenda,
Tenda uweze jikimu, mambo yako weze wanda,
Tenda kwa yako fahamu, kwa kuzidi kujipenda,
Ni kumbukizi ya kwake, Okwetso lipozaliwa.
[Outro]
Metosha beti kalili, kwa siku hino muhimu,
Rahimu akufadhili, kwa yote yako magumu,
Zidi ikuza akili, ya limwengu kufahamu,
Ni Kumbukizi ya kwake, Okwetso lipozaliwa.