Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Nuru ya Moyo 2 by SHAZIRU

SongGPT
Nuru ya Moyo 2 by SHAZIRU - Slow Bongo Fleva,Female Vocals music cover art

Nuru ya Moyo 2

Slow Bongo Fleva,Female Vocals

0:002:59
Lyrics
Description
[Intro]
Issah Mulloh hapa naimba tena mapenzi
[Verse 1]
Mmmmh, mmmmmmmmmh,
Naiona nuru tena,
Yaangaza maisha yangu uuh,
We ndo sababu mwanah,
Umeuteka moyo wangu uhh
Liwalo na liweee eeh, siwezi nkukuficha.
Me nataka wajue eeeh,
Kwako ndo nimedata,
Na tena waambie eeh,
Me kamwe kuchoma
Penzi lako wewe kwa mwingine sitopata
[Bridge]
Ye si wa pwani wala kwa visiwa
Ye wamilimani kwao Newala,
Mmmmh mmmmmmh
[Chorus]
Oneni onaa nafanana nae
Na mtaisoma siwezi tengana nae
(Huyu huyu hapa ananipenda, huyu huyu hapa ndo ananijali, ooh aaah)
[Verse 2]
Jina lake silifichi hadharani nalitaja
Aitwa Mwanahamisi Mustapha wake baba
Mwenye uzuri wa dhati
Nikimuona nashiba
Hao wengine sitaki nawaona midabwada
Aaah aaaah aaaah
[Bridge]
Ye si wa pwani wala kwa visiwa
Ye wamilimani kwao Newala,
Mmmmh mmmmmmh
[Chorus]
Oneni onaa nafanana nae
Na mtaisoma siwezi tengana nae
(Huyu huyu hapa ananipenda, huyu huyu hapa ndo ananijali, ooh aaah)
[Outro]
Nuru ya moyo wangu, mwanga wa upendo
Mpenzi wangu, taswira ya milele,
Tukipendana, maisha yanang'ara,
Issah Mulloh naimba, penzi letu halina mipaka.