Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Nostalgic Melodies 1 by Mkaapwekekariakoo

SongGPT
Nostalgic Melodies 1 by Mkaapwekekariakoo - slow classic rock,both vocals music cover art

Nostalgic Melodies 1

slow classic rock,both vocals

0:003:26
Lyrics
Description
Miaka mitatu nikiwa mbali
Si kwamba mie shujaa
Mshipa wa maumivu
Bado kwangu ni imara
Kuna wakati sabuni
Haifai kwa mashuka
Sababu chumvi ninyingi
Ya machozi ninayomwaga
Lakini moyo imara
Sababu ya pendo lenu
Nawakumbuka sana
Kila mara katika sala
Na daima mpo mawazoni mwangu
Ni kwa kuwa ninyi wangu pekee
Kuna wakati naketi
Na kuwaza mara kadhaa
Thamani ya kuwa mbali
Kutimiza wajibu wangu
Ninaolinena neno kwao
Mwenyezi awatulize
Hamu ya magimbi na nkoro kitazi
Kasokoro na dagaa zile nchimaboyo
Na yale masasa tenkuru kusaka,
Mazambasungwe maviru na masindo
Mzee Korosuperi
Mamangu sitela
Wazazi shujaa
Nimewamisi balaa
Hata hivyo nipo nanyi
Walau mawazoni
Toma sara na deevi
Petero Musa Anna
Fwele na bulaza joni
Adam inyasi ansiila
Happy Anati Amina
Dungudungu la moyo wangu
Sasa li tuli tuli tuliivu
Salamu kwa Mama Bosi
Kwa rose sosi mwebe fide
Easter prince priva
Na kina tai kwa mama juudi
Habari za nyakahunga kipenzi Cha moyo waaangu
Karibu nitavuka bahari iwe anga bandari
ipige hoodi
Muziki avamie masai niruke tufurahi
Kimaridaadi
Karibu nitakuuja subira kidogo
Wahenga ngoja ngoja washasema
Yaumiza matumbo
Nakama msipoweeza siku hiyo
Tucheze kasimbo
Oooh
Mukachigoma alilemyongo