Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Nitamusifu Bwana 2 by Joel

SongGPT
Nitamusifu Bwana 2 by Joel - hip hop,both vocals music cover art

Nitamusifu Bwana 2

hip hop,both vocals

0:003:37
Lyrics
Description
[Verse]
Nita musifu Bwana kwani yeye ndie aliniumba,
Aliniweka duniani akanitofautisha na viumbe vyengine vyote....
Nita musifu Bwana kwani yeye ndie aliniumba,
Aliniweka duniani akanitofautisha na viumbe vyengine vyote.
[Verse]
Anilipa pia akili, akaniongezea vile uwezo wa kutofautisha mema na yale yalio mabaya. Maishani mwangu, nimeamua
Milele yote, heeeee
[Chorus]
[Hook] : Nitamusifu Bwana :
[Repetition]
Kwani fadhili zake maishani mwangu ni za milele
[Hook]
: Nitamwinua shilooooo:
[Repetition]
: Kwani matendo yake maishani mwanfu ni ya hajabu.
[Verse]
Baba, Asante Sana kwa mema ambayo imenitendea. Maishani mwangu, hakuna mwengine wakusifu isipokuwa wewe.
- Matendo yako, yameonekana maishani mwangu mote, na ndio maana nitakusifu milele yote Baba. Pokea sifa za kinywa changu, Babaaaaaaaa
[Chorus]
:
[Solo]
Nitamusifu Bwana :
[Repetition]
: Kwani fadhili zake maishani mwangu ni za milele
[Solo]
: Nitamwinua shilooooo:
[Repetition]
: Kwani matendo yake maishani mwanfu ni ya hajabu.
[Bridge]
Hakika Bwana una stahili sana, maisha yangu bila wewe haipo ! Nakutegemea katika yote naku kuimbia mda wote na pahali pote.
[Verse]
Kwangu kini mtumacho nimusifu, nikuona ginsi alivyo nipenda, hata kumtoa mwanaye anifilie musalabani :
- Magumu na mateso yake, raha kwangu
- Kupigwa kwake naku uawa, ondoleo kweli ya zambi zaaaangu; Babaa Mungu wangu wa milele.
[Chorus]
[Solo]
Nitamusifu Bwana :
[Ensemble]
Kwani fadhili zake maishani mwangu ni za milele
[Solo]
: Nitamwinua shilooooo:
[Ensemble]
Kwani matendo yake maishani mwanfu ni ya hajabu.