Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Nguvu Ya Yesu 2 by Ken

SongGPT
Nguvu Ya Yesu 2 by Ken - Gospel music cover art

Nguvu Ya Yesu 2

Gospel

0:002:53
Lyrics
Description
ninaamini jina lako
ninatamani kuwa na wewe kila siku
kila saa yesu naomba
mwenyezimungu tunainua mikono
tubarikiwe uwe na sisi
tukishindwa utuezeshe.
jehovah unipe nguvu
yakushinda changamoto zamaisha
unijaze moyo wangu
nijalie hekima yakufanya maamzi sahihi
na uvumilivu
(na uvumilivu)
jehovah unipe nguvu
yakushinda changamoto zamaisha
unijaze moyo wangu
nijalie hekima yakufanya maamzi sahihi
na uvumilivu
(na uvumilivu)
nimeona upendo kwa yesu
alinipenda bila kitu chochote
ninani anaeza kufanya
kile alichofanya msarabani
ebaba hakuna.
jehovah unipe nguvu
yakushinda changamoto zamaisha
unijaze moyo wangu
nijalie hekima yakufanya maamzi sahihi
na uvumilivu
(na uvumilivu)
jehovah unipe nguvu
yakushinda changamoto zamaisha
unijaze moyo wangu
nijalie hekima yakufanya maamzi sahihi
na uvumilivu
(na uvumilivu)
jehovah unipe nguvu
yakushinda changamoto zamaisha
unijaze moyo wangu
nijalie hekima yakufanya maamuzi sahihi
na uvumilivu.
mungu wangu ninasimama mbele zako
ninainua mikono yangu
unioshe dhambi zangu zimekaa sana
erohim naomba baba unisamehe
mwana wako niko hapa
jehovah unipe nguvu
yakushinda changamoto zamaisha
unijaze moyo wangu
nijalie hekima yakufanya maamzi sahihi
na uvumilivu
(na uvumilivu)
jehovah unipe nguvu
yakushinda changamoto zamaisha
unijaze moyo wangu
nijalie hekima yakufanya maamzi sahihi
na uvumilivu
(na uvumilivu)
ahhhhhhh