Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Nakupenda Kambona Wangu 1 sauti iwe ya kike by Salma

SongGPT
Nakupenda Kambona Wangu 1 sauti iwe ya kike by Salma - Afrobeat music cover art

Nakupenda Kambona Wangu 1 sauti iwe ya kike

Afrobeat

0:002:59
Lyrics
Description
[Verse 1]
Nakupenda kambona wangu, nakupenda mume wangu, nakupenda kipenz changu, natamani tungekuwa karibu, natamani uwe wangu muhibu, nataman ujue yanayonisibu, natamani uje unitibu
[Chorus]
Nkeshe na wewe tukiliwazana, nkeshe na wewe tukiambizana, nikeshe na wewe tukiambizana nikeshe na wewe tukiliwazana
[Verse 2]
Tulizana mpenz, tupendane..nakupenda kambona wangu hata Dunia na vilivyomo vinajua nnavyokuzimikia
[Chorus]
Nkeshe na wewe tukiliwazana, nkeshe na wewe tukiambizana, nikeshe na wewe tukiambizana nikeshe na wewe tukiliwazana
[Bridge]
Moyo wangu unalia jina lako
Kila siku, kila usiku
Nakutamani, nakuhitaji
Wewe ni wangu, mimi ni wako
[Chorus]
Nkeshe na wewe tukiliwazana, nkeshe na wewe tukiambizana, nikeshe na wewe tukiambizana nikeshe na wewe tukiliwazana
[Outro]
Nakupenda kambona wangu
Dunia yote inajua
Nakupenda, nakupenda
Milele na milele