Nakunyosha by Mr

SongGPT
Nakunyosha by Mr - Tanzanian Hip Hop music cover art

Nakunyosha

Mr

Tanzanian Hip Hop

0:002:20
Lyrics
Description

[Intro ] SHADRACK ON THE BEAT.. Naitwa nani inner eyes tz [Verse 1] Unabichwa kubwa na bado unavuta msuba hujui huo msuba ni kama ruba. Sawa Sawa na samaki nguva akiwa kwenye maji nakwambia usijifanye mjuaji. Wakati wewe ni mchungaji wa mbuzii nakusii tu acha makuzi. Sijakuja kuhubiri maana mimi sio jubirii wala na bii. Naongea shingoni sijavaa tasbhi. Tumia ubongo wako kupata pesa usitumie uongo wako wengine kuwatesa. Kucha kutwa upo kirabuni unakunywa pombe mitungi mirungi ndo vitu vyako. Inamaana ukumsikia kikulachokinguoni mwako uoni machoni pako. Kilichomponza mac muga wa alikiba ni ujuaji,kinachompa mwamposa utajiri ni uchungaji. Nakuonesha njia uhishi Salam usije ukaishi kwenye lawama,na ukaangukia laana. Utajichanganya utajikanganya nakupenda sana sitaki lawama. [Chorus ] Nakunyosha, nakunyosha, Sikunyoshi kwa ubaya. Nakunyosha, nakunyosha, Tumia akili, acha ujanja. Nakunyosha... Usije ukaishi kwenye lawama. Nakunyosha... Usije ukaangukia laana.