Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Mungu Yupo - Bongo Flava Anthem 2 by kidman

SongGPT
Mungu Yupo - Bongo Flava Anthem 2 by kidman - Bongo Fleva,Male Vocals music cover art

Mungu Yupo - Bongo Flava Anthem 2

Bongo Fleva,Male Vocals

0:003:41
Lyrics
Description
[Verse 1]
We ndo tumaini langu pekee na msaada
Hujawai kunitupa mungu baaaabah
Kwenye giza kwenye taa haukuniaacha
Hata kama usawa mtani unakaba
[Pre-Chorus]
Kesho yangu bila wewe is going harder
I'm tryna pray everyday isiwe msaala
Nilipotoka wewe unajua wan'tazama
I keep fight for my life, and my mother and my father
Eeh mungu baabah
[Chorus]
Utazunguka kila kona ya dunia koote
Mungu yupo, mungu yupo
Ndo na maana nakusii, naku isii nafsi yangu
Utazunguka kila kona ya dunia koote
Mungu yupo, mungu yupo
Watu watunajisahu tusisahau ya kwamba
Mungu yupo, mungu yupo
Mungu yupo (x2)
[Verse 2]
Haijalishi boda boda, daladala
Haijalishi unatokea Salasala
Tunakimbiza migo migo mida ya Saala
Christian, Muslim fanya ibada amina Inshaallah kuna ishaaarah eeh
[Bridge]
Nachoshukuru kila hatua ni dua
Kikubwa uzima ya mbeye tutayajua
Uskate hata ukilala na njaa
Maisha yako yako yapo chini yake jaah
[Verse 3]
Mafanikio hayajai kwa marumbano
Maendeleo hayaji kwa migongano
We nichukie roho yangu ntabaki peace
Maana ridhiki anatoa asye na dhiki
[Pre-Chorus]
Subira inaitajika mungu anaita jika
Subira inaitajika mungu anaitajika
Eeeeh
[Chorus]
Utazunguka kila kona ya dunia koote
Mungu yupo, mungu yupo
Ndo na maana nakusii, naku isii nafsi yangu
Utazunguka kila kona ya dunia koote
Mungu yupo, mungu yupo
Watu watunajisahu tusisahau ya kwamba
Mungu yupo, mungu yupo
Mungu yupo (x2)