Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Mtoto wa Dunia 2 by J.K.M Rasta Mkalcha

SongGPT
Mtoto wa Dunia 2 by J.K.M Rasta Mkalcha - Afrobeat,both vocals music cover art

Mtoto wa Dunia 2

Afrobeat,both vocals

0:003:59
Lyrics
Description
(chorus)
Ewee ewee ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.
(verse)
Eee Mtoto wa Dunia Mwana wa Ulimwenguni tuliifanya maisha mjongeo nasema maisha ni mzunguko unachokifanya ndicho kitakavo kuwa wewe ndiye maisha mlimwengu jiewelewe na ujitambue bila wewe hamna maisha.
(chorus)
Ewee ewe ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.
(verse)
Kila mwanaume na kila mtoto wa kiume atazidi kunirudisha katika uwepo wa Duniani kwa kuimba jina langu kwenye uso wa ulimwengu na kusema maisha baba baba.
(chorus)
Ewee ewe ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.
(verse)
Kila Mwanamke na kila mtoto wa kike atazidi kunirudisha katika uwepo wa Duniani kwa kuilea mimba na kumlea mtoto ili kuifanya jamii katika uso wa ulimwengu kwa kuimba wimbo wangu wa maisha na kusema mama mama.
(chorus)
Ewee ewee ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.
(verse)
Kila Mmea na Miti itazidi kunitukuza kwa muunganiko wa kuifanya maisha utazidi kumea kwajili ya chakula katika uso wa dunia na kuifanya hewa safi kwa upepo unao nong'oneza na kuvuma kwa kuimba wimbo wangu wa maisha katika uwepo wa ulimwengu.
(chorus)
Ewee ewee ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.
(verse)
Kila Mnyama na ndege watazidi kuishi na kuifanya muunganiko wa maisha kwa kuifanya chakula katika uso wa dunia wakitambaaa na kuppaaa kwenye angaa wakifurahi na kuimba wimbo wangu wa maisha katika uso wa Ulimwengu.
(chorus)
Ewee ewee ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.
(verse)
Eee Dunia yenye udongo Ulimwengu unaon'gaa kwa mwanga wa Jua nyota na Mwezi kwajili ya viumbe Miti wanyama Na Walimwengu mtazidi kuunganika katika uwepo wa Duniani nakuimba wimbo wangu wa maisha katika uwepo wa uso wa Ulimwengu
(chorus)
Ewee ewee ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.
(verse)
Eee Mlimwengu Mtoto wa Dunia, tunaganda kama barafu na kutiririka kama Maji,Sisi ndio Alfa sisi ndio Omega Sisi ndio maisha, maisha ni Samaki Siri iliojificha kwenye Maji nakchipuka kwa mviringo kama Uyoga kwenye uso wa ulimwengu.
(chorus)
Ewee ewee ewe Mtoto wa Dunia mwana wa Ulimwenguni jielewe nasema jitafute, jitambue ufurahie maisha.