Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Mti wa Haki 1 by Bahati

SongGPT
Mti wa Haki 1 by Bahati - gospel,male vocals music cover art

Mti wa Haki 1

gospel,male vocals

0:003:13
Lyrics
Description
[Verse 1]
Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
[Pre-Chorus]
Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
[Chorus]
Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
[Verse 2]
Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Kwa hiyo wasio haki hawatasimama hukumuni,
Wala wakosaji katika kusanyiko la wenye haki.
[Bridge]
Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
[Chorus]
Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
[Outro]
Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki;
Bwana ndiye mwanga wetu daima,
Katika njia ya haki na amani.