Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Mola Wetu Tuvushe 1 by @KopaWisdom

SongGPT
Mola Wetu Tuvushe 1 by @KopaWisdom - Afrobeat music cover art

Mola Wetu Tuvushe 1

Afrobeat

0:002:56
Lyrics
Description
[Verse 1]
mipaka imekuwa ni gumzo mitandaoni
mashaka na chanzo kukiuka sheria vivukoni
twakata mazungumzo wakubwa mlo vikaoni
haraka tulizo tukiwa mahangaikoni
aisee sisi kwa siki pamoja toka mwanzoni
tulomshinda ibilisi enzi za ukoloni
sasa iweje kelele matusi mitandaoni
eti msije keetu sisi mubaki kwenye yenu zoni
Tanzania na Kenya si ni kitu kimoja
sa nini kinatokea deli tuna anzisha hoja
hivi kweli tutafikia malengo tunayongojasharti tuweke nia mbele tudonge pamoja
[Chorus]
mola wetu tuvushe tufike salama
na mabaya utuepushe sisi kwako twaungama
mola wetu tuvushe tufike salama
na mabaya utuepushe sisi kwako twaungama
[Verse 2]
kile tunacho ona kweli hakistahiki
utata kila kona mipaka haipitiki
mi naona wahusika yupunguze mikiki
kipindi hiki cha dhiki tufaane marafiki
na kama ni somo raia deli tunasoma
so kwanini tufeli na hali tunaiona
hivyo tutafakari wa Nairobi na Dodoma
tupunguze makali nyumbani wapate dona
aah pongezi raisi Samia na Ruto
wekeni mambo rahisi tukiwa kwenye vivuko
ili at least raia tuepuke masumbuko
tuishi kwa peace tukiwa kwenye mizunguko
[Chorus]
mola wetu tuvushe tufike salama
na mabaya utuepushe sisi kwako twaungama
mola wetu tuvushe tufike salama
na mabaya utuepushe sisi kwako twaungama
[Bridge]
Mmasai, Arusha, Moshi, Nairobi kuna mchaga,
Holili haitoshi mtaita mkurya namanga
Wadigo wakamba wamejaa horohoro tanga,
Mmakonde, mpemba Shimoni Lungalunga na Vanga
so sioni haja ya sisi kubaguana
Bwabwaja bwabwaja cheche kali kitupiana
Walisha sema mambo kangaja huenda yakaja
Tukipatwa na haja vipi tutasaidiana
Mbaya mbaniani ela dawa chake kiatu
Sakata mipakani isiwe tishio katu
Africabarani asili jamii tatu
Kuna wa Nilotes, wa Cushites pamoja ma Bantus
[Chorus]
mola wetu tuvushe tufike salama
na mabaya utuepushe sisi kwako twaungama
mola wetu tuvushe tufike salama
na mabaya utuepushe sisi kwako twaungama
[Outro]
tuwushe mpango, tufike shingoni
pamoja na mipaka, tukutane siri
moyo usiwe mzito, nafsi ziwe huru
mola wetu tupe baraka, tutunze amani yetu
mola wetu tuvushe tufike salama
na mabaya utuepushe sisi kwako twaungama