Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Mlinzi Wangu 2 by David

SongGPT
Mlinzi Wangu 2 by David - gospel,both vocals music cover art

Mlinzi Wangu 2

gospel,both vocals

0:003:17
Lyrics
Description
Nalijilaza nikalala usingizii🎵
Nalijilaza nikalala usingizii🎵
nikaamka 🔉kwa kuwa bwana ananitegemezaa🔉
nikaamka🎷
kwakuwa bwana ananitegemezaađź’Ą
stop! 🙌
KATIMBOO KWAYAAA
bwanaa 🎤watesi wangu wamezidi kuwa wengii
ni wengi wanaonishambuliaa🎤
hawapendi furaha yangu
nasema
niongoze🎉 nisipotee🎉
isimamie🎆 unishindiee🎊
naimba kwa hisia
kwako najivunia
hata giza likitanda
nuru itachomoza
Nalijilaza nikalala usingizii🎵
Nalijilaza nikalala usingizii🎵
nikaamka 🔉kwa kuwa bwana ananitegemezaa🔉
Wachawi tunawaona na
magonjwa tunapona
bwanaa 🎤watesi wangu wamezidi kuwa wengii
ni wengi wanaonishambuliaa
nasema
niongoze🎉 nisipotee🎉
isimamie🎆 unishindiee🎊
Wachawi tunawaona na
magonjwa tunapona
Msaada wangu hutoka kwa Bwana, Mungu wa mbinguni,
Hutulinda kutoka jicho baya na maadui wote,
Hautalazimika kulala kwa hofu usiku,
Mlinzi wake hutunza, hakula usingizi kamwe.
Bwana ndiye mlinzi wako wa milele,
Hutakufunika kwa mkono wake wa haki,
Asubuhi na jioni atakuangalia,
Amani na wokovu wake viende nawe.
Nalijilaza nikalala usingizii🎵
Nalijilaza nikalala usingizii🎵
nikaamka 🔉kwa kuwa bwana ananitegemezaa🔉
Wachawi tunawaona na
magonjwa tunapona
bwanaa 🎤watesi wangu wamezidi kuwa wengii
ni wengi wanaonishambuliaa
nasema
niongoze🎉 nisipotee🎉
isimamie🎆 unishindiee🎊
Wachawi tunawaona na
magonjwa tunapona
MWAMBUNGU TUNAMUANDIKIA BWANA
KATIMBO KWAYA TUNAMUIMBIA BWANA
ASANTE NOELY