Margarate, Safiri Salama 1 by Dj

SongGPT
Margarate, Safiri Salama 1 by Dj - Afro-Soul Ballad music cover art

Margarate, Safiri Salama 1

Dj

Afro-Soul Ballad

0:003:24
Lyrics
Description

[Verse 1] Musonzo nina huzuni sanah, Safari ya margarate, Mwanamke mwenye tabia, Mwenye heshima ni margarate. [Verse 2] Mwanamke mwenye mali, Hasiye na wivu kama margarate, Ni bibi mwenye miaka, Na mikaka margarate. [Chorus] Ulituacha na huzuni sanah, Aki ww magarate, Mungu akulaze pema mama, Tutaonana margarate. [Verse 3] Twakupenda wewe mama, Akia mungu margarate, Safiri vyema mama, Twakupenda margarate. [Bridge] Watoto lindeni boma, Nyumba lisije zama, Tutawashika mikono sanah, Watoto wa margarate. [Chorus] Safiri salamaaaaa, mama yetu margarate, Twahuzunikaaa Tena sanah margarate. [Outro] Rest in peace mum. Tutaonana margarate.