Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Maisha Shangarabangala 1 by Jacob

SongGPT
Maisha Shangarabangala 1 by Jacob - Afrobeat music cover art

Maisha Shangarabangala 1

Afrobeat

0:003:16
Lyrics
Description

[Verse 1] Nina huzuni mwingii, Mimi silingi najuta, Najutia nafsi, Kwa kweli nmedhoofika, Afya yangu ni njema lakini nina mawazo. [Verse 2] Nkikumbuka mwenendo, Wangu wa hapo zamani, Kwa kweli nmedhoofika, Sina afya njema. [Verse 3] Ninataka kuepuka balaa, Niwe mtumwa, Niachane na bangi, Kokeini na tubako. [Verse 4] Nina lia tena sanah, Nkikumbuka wakati ule, Nilipokua mtumwa, Nyumbani na mitaani. [Verse 5] Naangaika sanah, Kupata lishe kwa kweli, Maisha ni kama ngumu, Za ngano za kutandaza, [Verse 6] Maisha ni viwiliwili, Kuepuka hata hakuna, Nauliza kwa nini, si kuzaliwa tajiri, Lakini hakuna, Aliye na bahati, Nakuepuka tatizo,. [Chorus] Sisi sote hatuyoshani, Vipomo twaachia mungu, Maisha shangarabangala, Kupata tena kukosa, Ukipata lishe leo, Ngauwia dada na kaka, Maisha ungeuka alienacho kakosa. [Bridge] Niheshimu nkuheshimu, Natusongeshe maisha, Nyakati upitia na mambo uenda mnenge. [Outro] Usinidhurumu leo, Kesho ufika taabu, Nsaidie nkusaidie, Na yote ni hali ya dunia.