Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Mafuriko ya Mamlaka 2 by Matias

SongGPT
Mafuriko ya Mamlaka 2 by Matias - gospel,female vocals music cover art

Mafuriko ya Mamlaka 2

gospel,female vocals

0:003:56
Lyrics
Description
[VERSE]
[MUSIC]
Nuru yangu ni hafifu.
Macho ya roho ni dhaifu.
Nguvu yangu ni ndogo.
Kumkanyaga nge na nyoka.
Nina huzuni moyoni.
Kuona magonjwa yote.
Na Kazi za roho chafu.
Ooh ooh ooh Yesu weee.
Yesu weee eeh eeh eeh.
[MUSIC]
[BRIDGE]
Natamani mafuriko yaje.
Mafuriko ya nguvu za Roho.
Nguvu ya kukomesha taabu.
Ee Yesu iamshe nafsi yangu.
Unipe nguvu za mamlaka.
Nizishinde nguvu za giza.
[CHORUS]
Milango ya mbinguni imefunguka.
Mamlaka ya yesu imesimama.
Sikieni enyi malango ya kuzimu.
Tetemekeni enyi wakuu wa giza.
Hii ni siku ya kisasi cha Mungu wetu.
Huu ni mwaka uliokubaliwa naye.
Hii ni siku ya kisasi cha Mungu wetu.
Huu ni mwaka uliokubaliwa naye.
[MUSIC]
[VERSE]
Masikio ni dhaifu.
Kusikia mambo ya roho.
Sauti yangu ni dhaifu.
Kuamuru nguvu za giza.
Nina huzuni moyoni.
Kuona magonjwa yote.
Na Kazi za roho chafu.
Ooh ooh ooh Yesu weee.
Yesu weee eeh eeh eeh.
Ooh ooh ooh Yesu weee.
Yesu weee eeh eeh eeh.
[BRIDGE]
Natamani mafuriko yaje.
Mafuriko ya nguvu za Roho.
Nguvu ya kukomesha taabu.
Ee Yesu iamshe nafsi yangu.
Unipe nguvu za mamlaka.
Nizishinde nguvu za giza.
[CHORUS]
Milango ya mbinguni imefunguka.
Mamlaka ya yesu imesimama.
Sikieni enyi malango ya kuzimu.
Tetemekeni enyi wakuu wa giza.
Hii ni siku ya kisasi cha Mungu wetu.
Huu ni mwaka uliokubaliwa naye.
[MUSIC]
Hii ni siku ya kisasi cha Mungu wetu.
Huu ni mwaka uliokubaliwa naye.
Hii ni siku ya kisasi cha Mungu wetu.
Huu ni mwaka uliokubaliwa naye.
[MUSIC]