Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Kazoba Vibes 1 by Ralph

SongGPT
Kazoba Vibes 1 by Ralph - afrobeat,both vocals music cover art

Kazoba Vibes 1

afrobeat,both vocals

0:002:50
Lyrics
Description
Sio leo
Toka zamani
Kazoba
Hana mpinzani
Sio leo
Toka zamani
Kazoba
Hana mpinzani
Hatushikiki ki ki ki. (Oooooooh we)
Hatukamatiki ki ki ki. (Oooooooh we)
Watoto wa kayanga
Watoto wa kazoba
Ita wazazi zi zi zi (Oooooooh we)
Wameanza mtiti ti ti ti (Oooooooh we)
Na mwaka huu
Vipaji kazoba
Ah we unamjua kazoba (Mwamba)
Sio uyo wa picha kazoba. (Mwamba)
Huyo ni wa insta kazoba (Mwamba)
Kazoba (mwamba)
Kazoba (Mwamba)
Kazoba (Mwamba)
Wa vipaji vingi kazoba (Mwamba)
Anaupiga mwingi kazoba(Mwamba)
Ushindi ni mwingi ushindi (Mwamba)
Nasema...
Unamjua kazoba (Mwamba)
Wa kimataifa kazoba (Mwamba)
Kazoba elimu na sala kazoba (Mwamba)
Anatupeperusha kazoba (Mwamba)
Kazoba (Mwamba)
Kazoba (Mwamba)
Wa vipaji vingi kazoba(Mwamba)
Wa kimataifa kazoba (Mwamba)
Anaupinga mwingi kazoba (Mwamba)
Hatushikiki ki ki ki. (Oooooooh we)
Hatukamatiki ki ki ki. (Oooooooh we)
Watoto wa kayanga
Watoto wa kazoba
Ita wazazi zi zi zi (Oooooooh we)
Wameanza mtiti ti ti ti. (Oooooooh we)
Na msimu huu
Vipaji kazoba
Sio leo
Toka zamani
Kazoba
Hana mpinzani
Sio leo
Toka zamani
Kazoba
Hana mpinzani
Oh...
This is Kazoba
Sisi ndio washindi
Sisi ndio washindi
Afrika nzima
This is kazoba
Sisi ndio washindi
Sisi ndio washindi
Afrika nzima.