Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Ganji Kabambe Vibes 1 by Ccww

SongGPT
Ganji Kabambe Vibes 1 by Ccww - Gengetone,male vocals music cover art

Ganji Kabambe Vibes 1

Gengetone,male vocals

0:003:11
Lyrics
Description
[Intro]
(Adlib: "Eeh... Lil Cash! King Papa...")
Beat drop
[Chorus 1]
Ganji kabambe
Kadem kachapwe kalambwe
Kagande juu ya kibanda
Leo niko na Linda
Kesho na Brenda
Nkimdara mahaga juu ya kibanda
[Verse 1]
Ganji kabambe – ndio kusema na kutesa
Madem wakiona – wanaanza kuteta
Kabla watete – nachuma kilema
Kichwani nimefunga kilemba
Niko kwa keja – flow ni kali
Mapito ya life – siyo lazima wali
Naendesha ndoto – kama gari
Leo ni Linda, kesho ni nani?
[Chorus 2]
Leta shere tujibambe
Dem wangu ni Brenda – lakini hunitenda
Nikiwa kwa keja – nikimshika mabea
Akileta drama – mihuepa!
[Verse 2]
Ganji ilifanya nikatu
Mokorosai nateseka
Nikibeba vibuyu –
Naomba msamaha nikitubuka
Mungu ni mkuu – sitoki bila tesa
Heshimu mokoro – baraka zi Zulu
Kwa Mungu sitoki
Napambana ka nyungu
Jehova ni Mungu
Kwangu ni rungu
Kwako ni nyuki
Mimi sijuti... sijuti
[Chorus 2 – Repeat]
Leta shere tujibambe
Dem wangu ni Brenda – lakini hunitenda
Nikiwa kwa keja – nikimshika mabea
Akileta drama – mihuepa!
[Verse 3]
Madem wa Kanairo – wanapenda kunitesa
Nikicheki hizo mahaga – nabaki nikicheka
Lakini sijali – mi hushika nikipenda
Wakichora number saba – bado mihupenda
[Verse 4]
Shika rombosa kwa kochi, kwa kiti
Hadi kwa giza – peleka kitanda
Chapa vijxx hadi zinditi
Ni Lil Cash – King Papa, msitishwe!
[Final Chorus – Repeat x2]
Ganji kabambe
Kadem kachapwe kalambwe
Kagande juu ya kibanda
Leo niko na Linda
Kesho na Brenda
Nkimdara mahaga juu ya kibanda
Leta shere tujibambe
dem wangu ni Brenda – lakini hunitenda.
Nikiwa kwa keja – nikimshika mabea.
Akileta drama – mihuepa!
[Outro – Adlibs]
"Ni Lil Cash... King Papa...
Hustle ni real...
Kanairo stand up!"
(Fade-out)