Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Asante Baba 1 by Millicent

SongGPT
Asante Baba 1 by Millicent - Afrobeat Gospel music cover art

Asante Baba 1

Afrobeat Gospel

0:001:53
Lyrics
Description

[Chorus] Asante baba, asante baba Asante baba, ninakushukuru baba Asante baba, asante baba Asante baba, ninakushukuru baba [Verse 2] Baba ninachojua wakati wako ni sahihi Hivyo nitasubiria wakati wangu Wala sitolia lia kwa ndugu na majirani Ila ninachojua unaniona [Pre-Chorus] Nitakushukuru kama nikipata leo Nitakushukuru kama nikikosa kesho Mi ninachojua we huna upendeleo Na fahamu zako zimenizidi upeo Leo zamu yangu umenikumbuka na mimi Mbona siamini ntakulipa nini Leo zamu yangu umenikumbuka na mimi Mbona siamini ntakulipa nini [Chorus] Asante baba, asante baba Asante baba, ninakushukuru baba Asante baba, asante baba Asante baba, ninakushukuru baba