Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Ananipenda 1 by David

SongGPT
Ananipenda 1 by David - afrobeat,both vocals music cover art

Ananipenda 1

afrobeat,both vocals

0:002:48
Lyrics
Description
🎷🎷🎷🎺🎺🎼🎼🎻🎻🎹
aaah
aaaah
Noel in the building
aah
nilikua na bodaboda
aelekea Tandika
nikakutana na dada
mithili ya malaika
dada akanisimamisha
akaanza kuniswalika
kaka mimi naomba
unipeleke chanika
kaka nikasema siendi
muda ushakwisha
kaka nikasema siendiii
mbona muda ushakwisha
(chorus)
kumbe ananipenda anafanya makusudi
kumbe ananipenda anafanya makusudi
na kumbee ananipenda anafanya makusudii iiih iih
kumbe ananipenda ananipenda ananipenda mimiii
aaah mimii
aah mimii
basi nikampeleka kufika kwake nyumbani
ghafla akatoweka tulipokua njiani
nilihuzunika sanaa aah
oooh sanaa
nilipogundua bwanaa aah
oooh bwanaa
alibadilika nyoka akasema ananipenda
moyo wangu ulidunda nikataka kukimbia
na alibadilika nyoka akasema ananipenda moyo wangu ulidunda nilitaka kukimbia
(chorus)
kumbe ananipenda anafanya makusudi
kumbe ananipenda anafanya makusudi
na kumbee ananipenda anafanya makusudii iiih iih
kumbe ananipenda ananipenda ananipenda mimiii
aaah mimii
aah mimii
sijui nisemejee
nifanyejee miee
na wala sielewi nifanyeje miee
oooh miee
NOEL ON THE BEAT!