Create New Playlist

Add a cover pic of your own choice

(Optional)

Name

AI Cover Generator

4 credits

Not enough credits (0/4).

Logout

Are you sure you want to Logout?

Close

Ahadi za Mungu 2 by Glory

SongGPT
Ahadi za Mungu 2 by Glory - gospel,both vocals music cover art

Ahadi za Mungu 2

gospel,both vocals

0:003:40
Lyrics
Description
Ahadi ya Mungu ni kweli
Kila asemacho anatenda
Kila aliloliahidi kwako anafanya
Subiri mteule wa Bwana ahadi
(Verse)
Baba akiahidi anatenda
Kwa wakati sahihi nafanya
Subiri ahadi yake , yeye ni mwamnifu
Haijalishi muda gani uwe mrefu au mfupi
Anatenda Kwa uaminifu
Shikilia ahadi aliyokupa baba
Itatimia Kwa mapenzi yake.
(Chorus)
Ahadi za Mungu ni kweli
Akiahidi anafanya
Kubali,utii neno lake
Yeye ni mwamnifu
(Verse)
Alimuahidi Sara na Ibrahimu
Juu ya uzao wake tangu walipo kuwa vijana
Hata uzee ulipofika wakapata mtoto
Uzao wao ukawa kama nyota angani
Wakamfurahia Bwana
Ahadi ya baba ikatimia
(Bridge)
Usichoke kusubiri ahadi yake
Akiahidi Leo kesho anatenda
Haijalishi kesho Yako ni ipi
Wewe subiri
Ahadi Yako inakuja kama mvua
Tena mvua inyeshayo kila wakati
(Chorus)
Ahadi za Mungu ni kweli
Akiahidi anafanya
Kubali, utii Neno lake
Yeye ni mwamnifu.